Full time: Simba SC 1 - 0 Bravos do Maquis FC | CAF CC | Benjamin Mkapa Stadium | 27-11-2024

Full time: Simba SC 1 - 0 Bravos do Maquis FC | CAF CC | Benjamin Mkapa Stadium | 27-11-2024

Bravos siyo kitu mbele ya Simba ambo nina imani watawachapa mabao siyo chini ya mawili. Kinachonisumbua akilini ni jinsi Yanga tutakavyoendelea kuzomewa. Yaani tunapata nafasi tisa halafu tunashindwa kufunga hata bao moja?
Kila kitu kitakuwa sawa mda si mrefu usihofu mkuu,,Aya ni mapito yanga watarudi imara sana Kuna vitu mungu anakuonyesha mapema ili utibu tatizo kwa uhakika,,yanga ni Ile Ile isipokuwa Kuna vitu vidogo vidogo wanavifanyia kazi kuanzia eneo la ushambuliaji, kiungo mkabaji, na beki ya kushoto ivyo Wala usiwe na hofu!
 
Back
Top Bottom