Full time: Simba SC 1 - 0 Bravos do Maquis FC | CAF CC | Benjamin Mkapa Stadium | 27-11-2024

Pigo la Kona wanapata Simba dakika ya 63

Inapigwa na Mutale...inakwenda nje..goal kick
 
Leo tunacheza mpira wa kijinga huko mbele lakini kocha amechangua kulifumbia macho hilo swala.

Hadi sasa Chasambi ana Mukwala wana kazi gani uwanjani zaidi ya kuikaba team?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…