Full time: Simba SC 1 - 0 Bravos do Maquis FC | CAF CC | Benjamin Mkapa Stadium | 27-11-2024

Full time: Simba SC 1 - 0 Bravos do Maquis FC | CAF CC | Benjamin Mkapa Stadium | 27-11-2024

Huyu mbwa kocha wa simba atakuja kujuta kupanga timu hovyo hovyo
 
Bravo wanacheza mpira unawaona kabisa sio Simba

Em' fanya kama unamhadithia mtu ambaye hayupo hapo uwanjani.

Kwani hao Simba imekuwaje Wenyewe wanapoucheza unakuwa huwaoni... hapo uwanjani kuna Mazingaombwe au kuna nini .?
 
Kila la heri mnyama mimi ni mwanachama mpya nimehama yanga
 
Back
Top Bottom