Full time: Simba SC 1 - 0 Bravos do Maquis FC | CAF CC | Benjamin Mkapa Stadium | 27-11-2024

Full time: Simba SC 1 - 0 Bravos do Maquis FC | CAF CC | Benjamin Mkapa Stadium | 27-11-2024

Yaani anapanga timu anavyojisikia, nimekaa paleee, atakuwa kocha wa msimu mmoja
Hahahah Vipi lakini Makasiriko Yanakuwasha wapi hapo 🤣🤣🤣🙌🙌
Simba Mchezo wetu huwa hauna Kelele na wala hatutumii Madawa
 
Hizi ni Mechi za Kimataifa, 'za kulonda kazi ya Jeshi Ugangamale'...!

Jana Utopolo Katolewa Kamasi...! Famasiala!!
 
Back
Top Bottom