Donnie Charlie
JF-Expert Member
- Sep 16, 2009
- 16,908
- 19,123
Tunashambuliwa sana, aisee.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mod alijiandaa kuweka goli, sasa amejisahau! Ni utopolo huyu mod!Kwahiyo moderator mlifuta zero kwa akili zenu mkajua Camara hawezi kudaka penati🤣View attachment 3163379
Labda ni referee wa VAR akisaidiana na Kayoko! 😂😂😂😂Upewe kibendera irudiwe.
Uto ham ishi vituko. Hata zile za Ally Salim visingizio vilikuwa hivi hiviMmeona marudio? Kipa hakusimama kwenye mstari wakati penalty inapigwa, kaibia.
Huyu wa kwetu ni mdaka risasi mkuu, hilo la mdaka mishale tumuachie tu kipa wa uto, japo siku hizi naye mishale inamchoma tuMdaka mishale.. Camara.
Good grammarMtani mambo vipi?
How do you feel the pain?
sorry for my poor English
Na huko kujilinda itatucost, hao majamaa wanakuja kwa kasi aiseeSimba ishaanza kosa la kujilinda badala ya kutafuta magoli
Sawa mkuu yaan ni mdaka AK47.Huyu wa kwetu ni mdaka risasi mkuu, hilo la mdaka mishale tumuachie tu kipa wa uto, japo siku hizi naye mishale inamchoma tu
Wameshakata tamaa au pumziPamoja na kuwa Wapo nyuma kwa bao moja.....jamaa bado Wanapoteza muda.!
Screen protector imeweka nyufa bado hawajabadili ni fulu kujipigia tu🤣Huyu wa kwetu ni mdaka risasi mkuu, hilo la mdaka mishale tumuachie tu kipa wa uto, japo siku hizi naye mishale inamchoma tu
Sasa hapo kosa la mpiga penalty liko wapi, alilenga goli hajatoa nje wala hajapiga mwamba, kubalini tu kwamba kipa yuko vizuriHizi ndio timu zilizoko shirikisho nafikiri mnajionea,,penalty inapigwa kama vile anapigiwa mtoto🤣🤣