Hizo ni tabia za tim mbovu, team mbovu ikikutana na team bora hujikakamua bt ikikutana na wabovu wenzake ndo utauona uhalisia wao kama tunavoona sasa.Simba sio mbovu ila inaleta utoto kwenye mechi ambazo wapinzani wanaonekana kuwa ni dhaifu.
Angalia game zote ambazo Simba amekutana na timu ngumu jinsi alivyocheza.
Leo hii wachezaji wengi wanacheza kwa kujiamini utadhani wanaongoza bao 3.
Munapenda ndio kitu Gani masindano FCMunapenda penalty pambaneni
Kiasili wachezaji wengi wenye asili ya Nguvu kiwanjani kichwani wengi wanakuaga weupe japo Sio woteKibu D angewekeza kwenye akili kidogo tu angekuwa mchezaji mzuri saana.
Ni vibonde kama pamba jiji fc. Nashangaa makolo wana hangaikaHii timu ni kutoka wapi asee wachezaji hawajui ata ku control mpira ni kama wako mazoezini
Kocha ana mahaba binafsi na Ahua, nahisi huyo Ahua atamfukuzisha kibarua asipokuwa makini.Yule ateba angebaki, mukwala angeingia nafasi ya ahoua, timu ingeluwa na nguvu zaidi pale juu, ukishakuwa na viungo wa3, unahitaji watu wa3 wenye kusukuma mashambulizi binafsi zaidi, ahoua hajulikani ni winger, midfielder ama nani.
Akija ndani kama mido, timu haihitaji kiungo zaidi, timu inahitaji winger msumbufu mwenye kusogea na mpira juu, kazi anayofanya mukwala alipaswa aifanye yeye, mukwala akija hulu pale ndani anakosekana mtu