Hizo ni tabia za tim mbovu, team mbovu ikikutana na team bora hujikakamua bt ikikutana na wabovu wenzake ndo utauona uhalisia wao kama tunavoona sasa.Simba sio mbovu ila inaleta utoto kwenye mechi ambazo wapinzani wanaonekana kuwa ni dhaifu.
Angalia game zote ambazo Simba amekutana na timu ngumu jinsi alivyocheza.
Leo hii wachezaji wengi wanacheza kwa kujiamini utadhani wanaongoza bao 3.