Vipi kule Congo refa asingechelewesha kumaliza mpira?Haya mambo siyo, mnarudisha nyuma soka letu na kutia aibu Taifa.
Kulikuwa na haja gani ya kuchelewesha kumaliza mpira? Refa kanunulika waziwazi.
Ila tumebebwa na refa pia wachezaji wamecheza mchezo mbayaWalitaka tyfanane....
Na mjue kuna miuchawi uto ilirusha jana..
Yani nimesikia kelele kama jengo limeanguka watu wanakimbia kifooo kumbe mnyama kanyamuka
We vipi utakubari upigiwe nyumbani kwako warabu walimkunja jamaa wa Simba wakawa wanamtia ngumi kama wako Kwao ivi dharau zileSIMBA HII NI AIBU KUNG'OA VITI NA KUPIGA WAPINZANI.HAIJALISHI WAMEANZA WAO VURUGU
Refa ndio anajua sababu,mimi na wewe hatujuiHaya mambo siyo, mnarudisha nyuma soka letu na kutia aibu Taifa.
Kulikuwa na haja gani ya kuchelewesha kumaliza mpira? Refa kanunulika waziwazi.
Hata wale nyuki wa Tabora wanajua hiliSimba ni simba tu.. kwenye anga hizi
Acha izo,ushindi huu ni wa jasho na damu akuna mbeleko.Mbeleko 😁😁
Sawa mkuu Uto watavuka maana hata Ali Kamwe aliahidi kuwa watavuna points 12 ila jana wamedondosha 2 so bado wanandoto ya kusonga mbele 😂😂Yanga ana timu imeshuka ila angalau unaona structure yao na naamini anavuka
Mambo yaleyale ya mbelekoBenchi linalia Refa refa refa dakika 109 CS Sfaxien dakika zimekwisha 109'
Dakika ya 109' + sekunde 001'
Goal Kibu Denis P.
Simba SC 2 - 1 CS Sfaxien
Kabisa mkuu.....Simba ni simba tu.. kwenye anga hizi
Kata rufaa.Utopolo roho inauma.Refa kazengua acha wapige
Refa anakamgongo kweli ka kumbeba Simba mkuu?Mchezo wa simba haujanifuraisha japo tumepata ushindi wa kubebwa na refa
Yeah ni mahesabu mazuriDakika 2 zimeongezwa zikawa 9 badala ya 7.. Goal
Unalombwahakuna timu hapo
Alaaaaa!🥳Pumbavuuuuuuuuuu
Wenye nchi.Na badoooo this is Giant club..refa anatakiwa akichezesha awe na adabu na adubu zenyewe ndo hizo ukoona mnyama anashambulia unasubiri kwanza