Full Time: Simba SC 2-1 CS Sfaxien | CAF Confederation Cup | Benjamin Mkapa National Stadium | Disemba 15,2024

Full Time: Simba SC 2-1 CS Sfaxien | CAF Confederation Cup | Benjamin Mkapa National Stadium | Disemba 15,2024

Walitaka tyfanane....
Na mjue kuna miuchawi uto ilirusha jana..
Yani nimesikia kelele kama jengo limeanguka watu wanakimbia kifooo kumbe mnyama kanyamuka
Ila tumebebwa na refa pia wachezaji wamecheza mchezo mbaya
 
Yanga ana timu imeshuka ila angalau unaona structure yao na naamini anavuka
Sawa mkuu Uto watavuka maana hata Ali Kamwe aliahidi kuwa watavuna points 12 ila jana wamedondosha 2 so bado wanandoto ya kusonga mbele 😂😂
 
Refa kashinda. FIFA na CAF waiangalie hii issue ya marefa kutokuheshimu muda halali wa mchezo na kuamua wanavyoona wao vinginevyo uhuru wa marefa unaweza kusababisha malalamiko kwa timu ambazo zinafungwa baada ya muda rasmi wa nyongeza kuisha.
 
Back
Top Bottom