Magwangala
JF-Expert Member
- Oct 4, 2011
- 2,836
- 2,138
Hujui mpira kijana,timu imecheza vibaya ina shots 18 kwa 5 ,on target 7 kwa 2,unadhani unaweza kufunga magoli bila on target? Kama kushinda nyumbani ni rahisi mbona nyie mlikandwa 2-0?Takwimu zinacheza Mpira? Umetawala takwimu kwakuwa ndio Mpira wa kiafrika timu ikiwa ugenini inataka ijilinde tu na kumwachia mwenyeji Mpira but sio kwamba ndio ubora usijitoe ufahamu!
Simba kabakisha mechi Moja nyumbani ya Constantine je ataweza kuchukua alama kwao? Kama sfaxien katoa ulimi kumfunga mpaka mwamuzi kuingilia kati vipi timu yenye kaunafuu kaubora kuliko sfaxien atapata point kwa mkapa? Kule kwa bravos najua atapasuka kwa kuangalia namna bravos anavyocheza kwa sasa wako moto sana na wanaongoza goli 2 bila dhidi ya costsntineKundi la SImba bado nni gumu sana pamoja na kuwa la timu zisizojulikana kama Sfaxien, Constantin na Bravos. Kwenye grupu hilo timu inayojulikana ni Simba tu; hizo nyinine zote ni za uchochoroni. Mpaka sasa wote wana point 6 kasoro Sfaxien mwenye point 0.
View attachment 3177472
Wewe si ndio yule muha mbishi mbishi,,izo takwimu kama unayo timu Bora mbona azikuonekana Algeria? Timu yoyote ikiwa ugenini kwa Mpira kiafrika inataka ipate sare ivyo mwenyeji lazima awe na umiliki mkubwa kwakuwa ndio anakuwa anahitaji ushindi wa hali na mali acha ubishi!Hujui mpira kijana,timu imecheza vibaya ina shots 18 kwa 5 ,on target 7 kwa 2,unadhani unaweza kufunga magoli bila on target? Kama kushinda nyumbani ni rahisi mbona nyie mlikandwa 2-0?
Ndio maana nakwambia hujui mpira,mie naongelea shots wewe unaleta za umiliki wa mpira,Umesema timu yoyote ikiwa mwenyeji LAZIMA awe ana umiliki mkubwa. Kwani Yanga kule Lubumbashi alikuwa mwenyeji? Mbona unajipinga?Wewe si ndio yule muha mbishi mbishi,,izo takwimu kama unayo timu Bora mbona azikuonekana Algeria? Timu yoyote ikiwa ugenini kwa Mpira kiafrika inataka ipate sare ivyo mwenyeji lazima awe na umiliki mkubwa kwakuwa ndio anakuwa anahitaji ushindi wa hali na mali acha ubishi!
Ndio maana nakwambia hujui mpira,mie naongelea shots wewe unaleta za umiliki wa mpira,Umesema timu yoyote ikiwa mwenyeji LAZIMA awe ana umiliki mkubwa. Kwani Yanga kule Lubumbashi alikuwa mwenyeji? Mbona unajipinga?Wewe si ndio yule muha mbishi mbishi,,izo takwimu kama unayo timu Bora mbona azikuonekana Algeria? Timu yoyote ikiwa ugenini kwa Mpira kiafrika inataka ipate sare ivyo mwenyeji lazima awe na umiliki mkubwa kwakuwa ndio anakuwa anahitaji ushindi wa hali na mali acha ubishi!
Usihangaike mkuu, inawezekana huyu ndiye yule bwana MapovuWw mbona kama unaumia sana sir..yani sisi hautuambii kitu...
Watakutoa wewe kinyeo. Tutolee upinde wako. Unawaza kupigwa pumbu tu. Pumbavu.Mkiwatoa meno mkienda kwao watakutoeni kinyeo.
Tayari Kule kwenye Uzi WA Bravo vs Constatine wameanza kuipigia Simba mahesabu. Tuwakumbushe hata wakati Simba ilikuwa mbovu haikuwahi kuishia makundi🤓🤓🤣🤣🤣🤣
Wanaombea Kufeli kwa wenzao 🤣🤣🤣
Huo ndo uchawi wenyewe 🤣🤣🤣
Yanga wachawi sana 🤣🤣🤣
Hizo shots wangepigaje na awafiki kwenye goli la mpinzani? Unaelewa unachokiongea wewe? Wale mda mwingi wako kwenye kujilinda iyo nafasi ya kwenda kushambulia wanaipata mda Gani?Ndio maana nakwambia hujui mpira,mie naongelea shots wewe unaleta za umiliki wa mpira,Umesema timu yoyote ikiwa mwenyeji LAZIMA awe ana umiliki mkubwa. Kwani Yanga kule Lubumbashi alikuwa mwenyeji? Mbona unajipinga?
Hayo ni matumizi mabaya ya neno "bro" hebu fuatilia post zake uone kama anastahili kuitwa "bro"Ficha upumbavu wako bro. Mambo mengine mnatia aibu hata kama ni ushabiki. Hivi ni kweli hujui kama zinahesabiwa dakika za kucheza na ukipoteza muda zinafidiwa?
Nafikiri Simba mnaiangalia mechi ya bravos na Constantine saizi,,huu ndio Mpira sasa waarabu wanapelekewa moto na tiyali chuma 2 washagongwa jiandaeni kisaikolojia na timu yenu iyo ya ungaunga mwana
Halafu kwenye hii michezo hatuangalii ball possession bali alamaHujui mpira kijana,timu imecheza vibaya ina shots 18 kwa 5 ,on target 7 kwa 2,unadhani unaweza kufunga magoli bila on target? Kama kushinda nyumbani ni rahisi mbona nyie mlikandwa 2-0?
Usikimbie hoja uliyoanzisha, Yanga walikuwa ugenini kule Lubumbashi, mbona wao waluongoza umiliki wa mpira? Kwa nini iwe ni sawa kwa Yanga lakini kwa CS Sfaxien isiwezekane?Hizo shots wangepigaje na awafiki kwenye goli la mpinzani? Unaelewa unachokiongea wewe? Wale mda mwingi wako kwenye kujilinda iyo nafasi ya kwenda kushambulia wanaipata mda Gani?
Uko sahihi but mie nawabishia hao wanaosema Simba wameshinda but wamecheza vibaya, wanatumia vigezo gani?Halafu kwenye hii michezo hatuangalii ball possession bali alama
Bravos si ndie mliyemuita mbovu alipocheza,na Simba au kuna mwingine?Ushauri wape Utopolo wenzako wenye pointi 1 mechi 3.Mnapumulia mashine mnangaika na kuishauri Simba.Nafikiri Simba mnaiangalia mechi ya bravos na Constantine saizi,,huu ndio Mpira sasa waarabu wanapelekewa moto na tiyali chuma 2 washagongwa jiandaeni kisaikolojia na timu yenu iyo ya ungaunga mwana
Sitegemei mtu kama wewe unaweza kusema huifahamu CS Sfaxien, timu ambayo ni mabingwa wa kihistoria wa hili kombe la Shirikisho kwa kulitwaa mara tatu ikiwa Yanga kwa kufika fainali tu viongozi na mabiki wao wanatamba na medali kila sikuKundi la SImba bado nni gumu sana pamoja na kuwa la timu zisizojulikana kama Sfaxien, Constantin na Bravos. Kwenye grupu hilo timu inayojulikana ni Simba tu; hizo nyinine zote ni za uchochoroni. Mpaka sasa wote wana point 6 kasoro Sfaxien mwenye point 0.
View attachment 3177472