Magwangala
JF-Expert Member
- Oct 4, 2011
- 2,836
- 2,138
Hujui mpira kijana,timu imecheza vibaya ina shots 18 kwa 5 ,on target 7 kwa 2,unadhani unaweza kufunga magoli bila on target? Kama kushinda nyumbani ni rahisi mbona nyie mlikandwa 2-0?Takwimu zinacheza Mpira? Umetawala takwimu kwakuwa ndio Mpira wa kiafrika timu ikiwa ugenini inataka ijilinde tu na kumwachia mwenyeji Mpira but sio kwamba ndio ubora usijitoe ufahamu!