Nawatakia kipigo chema makolo.Leo ndio leo kwenye kipute hiki cha Kombe la Shirikisho Africa kati ya wenyeji Simba ya Tanzania na wageni Sfaxien ya Tunisia.
Hii ni Match Day 3 kwa timu hizi na mechi zilizopita wote walichezea kichapo ugenini (2-1 na 3-2). Leo kila mmoja anatafuta ushindi kufufua matumaini ya hatua ya makundi.
Mechi hii itapigwa saa 10 jioni kwa saa za Afrika Mashariki.
Nini kitatokea katika Dimba la Benjamin Mkapa leo? Kuwa nami mwanzo hadi mwisho wa mchezo huu kupitia JamiiForums.
Azam na DStv pia watarusha mechi hii.
View attachment 3177038
MwanaSimba Kindakindaki[emoji1][emoji112]Wewe Joseee kwani ww mwan Simba??
Hivi kwanini Kombe la Shirikisho limekuwa na mvuto sana msimu huu....??
Leo tu ashinda bibie,wacha wapige dua zao mbaya,Tukipigwa tutabaki na point 3 ila ww uko mkiani na point yako moja
Halafu hii ya kutuita nyuma mwiko hua nacheka sana... Kolo mkubwa wewe 🤣Nyie nyuma mwiko msipoacha kamdomo mtaishia na point moja hivyo hivyo
Tutapitia kwa kapombeAll the best Taifa KubwaView attachment 3177249
Over 1.5 au sio. Mie nimeweka goal goalMi nataka magoli mawili tuu, matokeo watajua wenyewe