Full Time: Simba SC 2-1 CS Sfaxien | CAF Confederation Cup | Benjamin Mkapa National Stadium | Disemba 15,2024

Full Time: Simba SC 2-1 CS Sfaxien | CAF Confederation Cup | Benjamin Mkapa National Stadium | Disemba 15,2024

Vikosi vya leo kwa timu zote mbili
20241215_151640.jpg
 
Hivi hii azam max inatakiwa ulipie sh ngapi ili uangalie mechi, maana nimelipia hapa ila naona channel za mechi bado zinagoma, na kama nimeshalipia kifurushi kimoja ili nipande kingine naweza kuupgrade au nalipia upya
Mim nalipiaga 28k, kutumia Azam max
 
Gooooal Sfaxien wanapata goal dakika ya pili hapa baada ya Che Malon kutoa boko
Simba 0 - Sfaxien 1
 
Hizi mechi za shirikisho nazo zinarushwa LIVE? huku ni kujaza server bure
 
Back
Top Bottom