Acha makasiriko😄😃
Wapo.....Kuna watu wanafuatilia hii michezo ya shirikisho??
Anafikiri ni ule utopolo wao wa janaKwani Kibu Yuko Timu gani?
Kwani si mchezaji wa SimbaKibu kawaokoa
Nyie mnaocheza mashindano makubwa, hali yenu vipi?Kuna watu wanafuatilia hii michezo ya shirikisho??
Akili za mandazi hiziKibu kawaokoa
Msaada wa kibu kwenye kukaba ni mkubwa sana hata kama hafungi.Kibu kaibuka leo toka mechi ya Tripoli. Kama Dube tu lakini anasemwa mwana mfalme kama kabeba vizazi vyenu
Rekebisha kwenye remote inakubaliHivi matangazo ya kiswahili yamegoma kote au ni huku kwangu tu kwenye azam
Inagoma mkuu naona lugha Moja tu. Ni azam sports 2 HD?Rekebisha kwenye remote inakubali