Full Time: Simba SC 2-1 CS Sfaxien | CAF Confederation Cup | Benjamin Mkapa National Stadium | Disemba 15,2024

Full Time: Simba SC 2-1 CS Sfaxien | CAF Confederation Cup | Benjamin Mkapa National Stadium | Disemba 15,2024

Naona waarabu wamekaba njia zote za Simba kutokea pembeni

Wanalazimisha mpira wa kugongana kati kati ya uwanja
 
Simba na Yanga ni mapandikizi ya ccm yanatumiwa kuwapumbaza watanzania wasidai katiba mpya au tume huru. Ziendelee kufungwa mpaka wazisahau
 
Fowadi ya SIMBA ina bore sana....magoli yanapatikana tu kiana aina...
 
62' Haboub anaoneshwa kadi ya njano kwa kumzuia Musa Camara kuanzisha goal kick

64' Sub kwa Simba

Mutale
Chamou
Kagoma... Hawa wanaingia


Ahoua Jean
Che Malone
Mavambo Debora ... Hawa wanatoka
 
Acha amfukuzishe tu, maana anatukera tu na mahaba yake.
Binafsi kwa kiwango alichonacho Ahua, hata benchi asingekaa baadhi ya mechi za msingi.
Winga angecheza Kibu na Mukwala, striker Ateba, kisha pale kati angecheza Either Kagoma, Ngoma na Mavambo au, Mavambo, Ngoma na Mzamiru.

Mfumo 4:3:3
 
Kaiz ipo naona kila mundu anataka mtu wake...sasa sijui ndo inakuwaje
 
Back
Top Bottom