Full Time: Simba SC 2-1 CS Sfaxien | CAF Confederation Cup | Benjamin Mkapa National Stadium | Disemba 15,2024

Full Time: Simba SC 2-1 CS Sfaxien | CAF Confederation Cup | Benjamin Mkapa National Stadium | Disemba 15,2024

Hata msemeje muhimu point sita kibindoni tena tulieni hivyo hivyo hakuna kuleta fyoko fyoko, yule kipa wa waarabu alivyokuwa anajilazalaza hovyo alikuwa anategemea nini pumbavu kabisa, refa alikuwa sahihi sana pale alipokumbushwa kuwa muda umeisha ila akagoma akasema ngoma iendelee
 
SIMBA HII NI AIBU KUNG'OA VITI NA KUPIGA WAPINZANI.HAIJALISHI WAMEANZA WAO VURUGU
 
Imekuwaje aiseee mpaka matokeo yamekuwa hivi maana nimeacha kuangalia mpira dakika ya 97 wakati dakika za nyongeza zimeisha na mpira ulikuwa unachezwa eneo letu??
Dakika 2 zimeongezwa zikawa 9 badala ya 7.. Goal
 
Back
Top Bottom