kovai tamil taiga
JF-Expert Member
- Sep 28, 2013
- 1,451
- 2,059
Huwa hajaisha mpaka iwe imeisha...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wachane vipi na tumeweka goli la jioni.Nini kimetokea wamechana?
2-1Ngapingapi?
Warabu wafia uwanjaniiii dakika za mwishoWengine hatupo kideoni
Mimi ni simba ila kweli refa katubeba😂Huyu refa alipaswa kupigwa hadi auwawe hapohapo uwanjani, kawabeba Simba muda mwingi sana hadi amepitiliza
Kazengua na niniRefa kazengua acha wapige
Waarabu wanajuangusha sana acha afidie mudaHuyu refa alipaswa kupigwa hadi auwawe hapohapo uwanjani, kawabeba Simba muda mwingi sana hadi amepitiliza
Mama£🤸🤸🤸🤸Vyuraa haooooo haoooooo haoaooooo
Dakika 2 zimeongezwa zikawa 9 badala ya 7.. GoalImekuwaje aiseee mpaka matokeo yamekuwa hivi maana nimeacha kuangalia mpira dakika ya 97 wakati dakika za nyongeza zimeisha na mpira ulikuwa unachezwa eneo letu??
Majina yote tupeeni 🤸🤸🤸🤸Mbeleko fc kwenye ubora wao.
Weuweeeee mtalokota benyewe kunyavuDakika 2 zimeongezwa zikawa 9 badala ya 7.. Goal
Asanteni Sana Simba....💪💪💪Wachane vipi na tumeweka goli la jioni.
Point 3 kibindoni