zipompa
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 11,432
- 24,596
hakuna timu hapoSimba will always be SIMBA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hakuna timu hapoSimba will always be SIMBA
Likewise 👊Simba will always be SIMBA
Hahahaha😂😂😂Vyuraa haooooo haoooooo haoaooooo
Ndo matokeo ya hujaguswa halafu unalala kifo cha mende na hutaki kuamka. Refa anaweka tu. Halafu hizo dk waliongezewa Simba tu?Haya mambo siyo, mnarudisha nyuma soka letu na kutia aibu Taifa.
Kulikuwa na haja gani ya kuchelewesha kumaliza mpira? Refa kanunulika waziwazi.
JaddaHata msemeje muhimu point sita kibindoni tena tulieni hivyo hivyo hakuna kuleta fyoko fyoko, yule kipa wa waarabu alivyokuwa anajilazalaza hovyo alikuwa anategemea nini pumbavu kabisa, refa alikuwa sahihi sana pale alipokumbushwa kuwa muda umeisha ila akagoma akasema ngoma iendelee
😂😂😂😂Mbeleko fc kwenye ubora wao.
Pole mwarabuuHuyu refa alipaswa kupigwa hadi auwawe hapohapo uwanjani, kawabeba Simba muda mwingi sana hadi amepitiliza
naam refa alikuwa sahihi.Hata msemeje muhimu point sita kibindoni tena tulieni hivyo hivyo hakuna kuleta fyoko fyoko, yule kipa wa waarabu alivyokuwa anajilazalaza hovyo alikuwa anategemea nini pumbavu kabisa, refa alikuwa sahihi sana pale alipokumbushwa kuwa muda umeisha ila akagoma akasema ngoma iendelee
🤣🤣🤣Niliacha kuangalia mpira second half nikajifungia room kusali.
Mungu ameniokoa na aibu kuu ningeweka wapi sura yangu
Niliacha kuangalia mpira second half nikajifungia room kusali.
Mungu ameniokoa na aibu kuu ningeweka wapi sura yangu
Goli limekuingia mpaka umetokwa na udenda siio poaAsante Sana natetemeka hapa😂😂
naskia refa kaleta mambo ya kayokoHawa wapuuzi gani wanaofanya hizo vurugu?