Full Time: Simba SC 2-1 CS Sfaxien | CAF Confederation Cup | Benjamin Mkapa National Stadium | Disemba 15,2024

Haya mambo siyo, mnarudisha nyuma soka letu na kutia aibu Taifa.

Kulikuwa na haja gani ya kuchelewesha kumaliza mpira? Refa kanunulika waziwazi.
Ndo matokeo ya hujaguswa halafu unalala kifo cha mende na hutaki kuamka. Refa anaweka tu. Halafu hizo dk waliongezewa Simba tu?
 
Hata msemeje muhimu point sita kibindoni tena tulieni hivyo hivyo hakuna kuleta fyoko fyoko, yule kipa wa waarabu alivyokuwa anajilazalaza hovyo alikuwa anategemea nini pumbavu kabisa, refa alikuwa sahihi sana pale alipokumbushwa kuwa muda umeisha ila akagoma akasema ngoma iendelee
Jadda
 
naam refa alikuwa sahihi.
 
Back
Top Bottom