Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Please kama mpo uwanjani tufikishieni salamu kwa hao waarabu.Kuna Moja kagongwa kichwa anavuja tu midamuu tu
Wanaacha kukubaliana na matokeo wao wanaleta fujoHawa wapuuzi gani wanaofanya hizo vurugu?
Benchi linalia Refa refa refa dakika 109 CS Sfaxien dakika zimekwisha 109'
Dakika ya 109' + sekunde 001'
Goal Kibu Denis P.
Simba SC 2 - 1 CS Sfaxien
Ulikuwa unaangalizia wapi mpira uto lialia.?Tokea ziongezwe zile dakika 7 hakuna mchezaji yeyote aliyedondoka chini mpira muda wote ulikuwa unachezwa. Refa ameibetia Simba
Waache wajifariji tu uko mbele watageukana wenyewe kwa wenyewe 😃Sema mnashinda kimiujiza Sana Simba Kuna sehemu mtafika hii miujiza itakwama
Chomo huo mwiko nyuma sasa.Mbeleko fc kwenye ubora wao.
Wewe mbona haubebwi?Hamuoni aibu hili gori la kubebwa
Bao la dakika za mwisho mpaka usingizi unakupitia hapohapo unaweza ukapagawa hususan waliobet wamepasuka huko banda umizaHivi ndivyo inavyotakiwa sasa❤️
Nakazia hapaTuweke record sawa, kwamba dakika za nyongeza nikwaajili ya team zote mbili.
Nyie vyura Mnayashabikia maarabu yenyewe kwao yaliwapigia mikelele usiku kucha...mabingwa wa kujiangusha na kupoteza muda
Na wewe unapenda kubebwa?Wewe mbona haubebwi?