mama kubwa
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 6,230
- 9,889
Wahi FIFA🤣🤣Dakika 2 zimeongezwa zikawa 9 badala ya 7.. Goal
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wahi FIFA🤣🤣Dakika 2 zimeongezwa zikawa 9 badala ya 7.. Goal
Kwani mwiko nyuma mna mpira gani mzuri kuliko simba mbona hamkushinda nyumbani na shanga zenu za shirikisho mlizopeleka ikulu?REFA alivuta mlungula sio Bure alistahili kichapo tokea lini dakika za nyongeza zikawa na nyongeza nyingine? Simba walipofunga akamaliza na mpira, licha ya Simba kubebwa kiwango chao ni ovyo kabisa bila msaada kama wa refa ama penalty kutokea inakuwa aibu ya mwaka,,uko kwako, uwanja wako na bado unategemea Rose mhando akuokoe🚮🚮🚮
Ni kamq mua uliotumika alafu unaletewa yale mabaki utege.ee utamu. Wanunuzi hawafanyi utafiti wa kutosha. Mtu anakuwa wa kawaida na anaifanya team kuwa ya kwaida zaidi ya ilivyokuwa.Hili hatuwezi kusahau mkuu Awaah, Mukwala na Mutale hawastahili kuendelea kuwepo Simba
Timu amna pale nyie kenueni lakini mko ovyo sana rejea ushindi wenu uliopita wa penalty mechi iliyopita,,Rudi kwenye mechi hii mpaka Refa apewe chochote ndio mshinde na bado unajimwambafai,,acha ujinga basi!Trokaaa hujawahi kuona au ndo umeona leo?? Mtatoka vijaba vya roho..
Point tushachukua jiueni sasa ..
Kuna timu zinabebwa kama...refa kafanya yake kama ww ulibeti imekula kwako
Mfumo wa uongozi wa mpira wa bongo ni wa kipuuzi sana.Ila pamoja na hayo yote Simba bado wachezaji wake wanafanya utoto sana kwenye games ambazo wapinzani ni dhaifu.
Mechi ya away dhidi ya Constantine tulicheza vizuri kuliko hii ya leo ambayo yupo nyumbani.
Haya matokeo tumshukuru refa zaidi kuliko Kibu, tukiwa na consistency ya performance hii sidhani kama kuna sehemu tutafika.
Hatuwezi kutegemea refa siku zote, kuna siku tutakutana na timu ambayo itamaliza mchezo dakika za mwanzoni halafu hata ziongezwe dakika 30 hatuwezi kubadilisha matokeo.
Kaangalie vizuri Yanga alipata goli kabla ya dakika ya 4 kufika tofauti na leo ambapo goli limeeingia zaidi ya dakika mbili mbeleJana nasi tumesawazisha dk za nyongeza kama hizi tuheshimu mpira wenzangu wa Yanga
Refa kafunga mangapiIla pamoja na hayo yote Simba bado wachezaji wake wanafanya utoto sana kwenye games ambazo wapinzani ni dhaifu.
Mechi ya away dhidi ya Constantine tulicheza vizuri kuliko hii ya leo ambayo yupo nyumbani.
Haya matokeo tumshukuru refa zaidi kuliko Kibu, tukiwa na consistency ya performance hii sidhani kama kuna sehemu tutafika.
Hatuwezi kutegemea refa siku zote, kuna siku tutakutana na timu ambayo itamaliza mchezo dakika za mwanzoni halafu hata ziongezwe dakika 30 hatuwezi kubadilisha matokeo.
Dhambi zako zote apewe Labani og, umeandika kitu konk sana wamayu!!Nidhamu ya waarabu imewaponza, toka awali walikuwa wanacheza kwa mbinu zao za kujiangusha mara waingize mipira miwili miwili na nafikiri walimjibu refa vibaya!, nashuku walimtukana sasa nayeye akaamua atumie mamlaka yake!.
kuongeza dakika 7 haikuwa shida ila kwenye nyongeza kaongeza zikafika 9, na ubovu goli limepatikana ktk dakika ambazo hazikuwa zile saba!.
Naweza sema refa kaishi usemi wa simba yani "Ubaya ubwela!"...🤣
Oni langu..
Ni muda sasa timu za kaskazini haswa waarabu wabadilishe nidhamu za uchezaji wao, figisu figisu za ajabu zitakuwa zinaleta tafrani kwa wapinzani na hata refa kama ilivyojitokeza hivi leo.
CAF wamekuwa wakiwalea hawa waarabu nafikiri waongee nao.
Ficha upumbavu wako bro. Mambo mengine mnatia aibu hata kama ni ushabiki. Hivi ni kweli hujui kama zinahesabiwa dakika za kucheza na ukipoteza muda zinafidiwa?Za kawaida na nyongeza zilishakwisha sasa zile za mfukoni mwake alizitoa wapi?
Toka dakika ya 48....Nasikia huyo kipa alikua anajiangusha angusha sana waarabu wangese sana ndo dawa yao hiyo
Ligi ya mabingwa unalinganisha na uchafu wenu huo,,mngekuwa kwa wanaume mngeshinda ata mechi Moja kwa Mpira wenu huo,,ebu ficha ujinga wako basiKwani mwiko nyuma mna mpira gani mzuri kuliko simba mbona hamkushinda nyumbani na shanga zenu za shirikisho mlizopeleka ikulu?
Kumbuka simba na wydadi kule moroko mwaka juzi ilikuwaje.asREFA alivuta mlungula sio Bure alistahili kichapo tokea lini dakika za nyongeza zikawa na nyongeza nyingine? Simba walipofunga akamaliza na mpira, licha ya Simba kubebwa kiwango chao ni ovyo kabisa bila msaada kama wa refa ama penalty kutokea inakuwa aibu ya mwaka,,uko kwako, uwanja wako na bado unategemea Rose mhando akuokoe🚮🚮🚮
Wakati kipa anapoteza muda kuanzia dakika ya 48 mbona hamkulalamika??Refa kashinda. FIFA na CAF waiangalie hii issue ya marefa kutokuheshimu muda halali wa mchezo na kuamua wanavyoona wao vinginevyo uhuru wa marefa unaweza kusababisha malalamiko kwa timu ambazo zinafungwa baada ya muda rasmi wa nyongeza kuisha.
Mechi dhidi ya Wydad zilizidi sekunde tu kelele zilikuwa nyingi. Au kumbukumbu zimepotea leo hii?Kwani waarabu walikua hawachezi? Au waliambiwa msicheze waacheni simba wacheze?! Mbaya zaidi wamepiga Rafa! Waarabu mapimbi sana maaamae zao. Wangeondoka kimya kimya wakakate rufaa CAF
Kwaiyo mlipofunga ndio dk za kucheza zikaishia hapo,,refa alikuwa upande wenu utake usitake ata Ile rafu ya che mallon ilikuwa ni red card kwa maana alikuwa ndio mchezaji wa mwisho,,Ficha upumbavu wako bro. Mambo mengine mnatia aibu hata kama ni ushabiki. Hivi ni kweli hujui kama zinahesabiwa dakika za kucheza na ukipoteza muda zinafidiwa?
Wewe ligi ya mabingwa umeshinda mechi ngapi mpaka sasa halafu nipe na msimamo wa kundi lenuLigi ya mabingwa unalinganisha na uchafu wenu huo,,mngekuwa kwa wanaume mngeshinda ata mechi Moja kwa Mpira wenu huo,,ebu ficha ujinga wako basi
Kwani simba kushinda yanga wanaumia nini sasa?!Mechi dhidi ya Wydad zilizidi sekunde tu kelele zilikuwa nyingi. Au kumbukumbu zimepotea leo hii?
Kabisa aisee ,tuna kocha mzuri ila wachezaji averageTumepata ila kuna viumbe hii timu si saizi yao...