Kuandika Goal la Dube ukaona utanenepa mtaniMatch Day
Kariakoo Derby
View attachment 3583143
Vikosi VINAVYOANZA.
View attachment 3583350
View attachment 3583351
Updates...
Timu zote zimewasili tayari kwenye Uwanja wa Mchezo. Major Isamuhyo Mbweni...
Kikosi cha Yanga kimegoma kuingia kwenye vyumba vyakubadilishia Nguo.
Wameingia kwenye nyumba ya pembeni...
Sasa ni saa 11:18jioni
DK 1
Mpira umeanza kwa kasi, Yanga wanaanza kwa kupiga mipira mirefu..
Haina faida
Dk 2
Libaseeeeeeeeeee
Simba wanapata chuma hapa goli zuri kabisa...
Chama ametengeneza goli zuri
Hapa...
Dk 4
Simba wanapata free kick inapigwa inababatiza kwenye goli la Yanga, wanaokoa.
Game On
1-0
Dk 9
Chamaaaaaaaaaaaa
Goooooooal chuma cha pili...
Goal la Msimu linapatikana hapa
Simba 2- 0 yanga
Dk 24
Damaro anapewa kadi ya Njano hapa.
Baada yakucheza ndivyo sivyo dhidi ya Mpanzu.
2-1
HALF TIME
SIMBA 2-1 YANGA
Kipindi cha cha Pili kimeanza kwa Kasi sana.
Dakika ya 50
Mwamnyeto anaipatia Yanga goli la kusawazisha.
2-2
DK 66
Mpira unaendelea,
Simba wana asilimia nyingi zaidi za kumiliki mpira.
2-2
Dk 80
Yanga wanafanya mashambulizi makali ambayo hayawapi matokeo mazuri
Mpira unaendelea
2-2
FT
Simba 2 - 2 Yanga
View attachment 3583422
Kabisa wajinaDube alikuwa anaimaliza mechi, ila si mlaumu sana kwa uwanja wa leo.
Ni kweli kwani inatufikisha wapi?mmefunga 2 mnashindwa kulinda?kenge nyieChura acheni kushangilia hiyo sare
Uwanja wa akina nani master?tumeanz kuusoma uwanja wenu wa mazoezi !
Sio mbaya safari hii ni wao wameomba mpira uishe, walishaanza kukosa heshima na kujiaminisha kuwa Yanga inapata matokeo kwa msaada wa akina Arajiga. Mechi mbili za ligi waamuzi wametoka uarabuni lakini Simba hakupata ushindi hivyo nadhani TFF waache kusumbua watu bure Simba kashindwa kumfunga Yanga ligi kuu hata refa angekuwa ni Pierluigi Collina.Dube alikuwa anaimaliza mechi, ila si mlaumu sana kwa uwanja wa leo.
Sema bench lilikuwa linawasha mwana sscYanga leo tulikwa tunawauwa.
Bao tamu kama cha asubuhi😀🔥🔥Nenda Bank yoyote ile Duniani, omba mkopo dhamana weka bao la Chama, chaapu muamala unasoma.
Chamaaa Babaaaaaaaaa!!! Triple C, mwamba wa lusaka.
[emoji881]
Offside ile acha kutamba kipuuziNenda Bank yoyote ile Duniani, omba mkopo dhamana weka bao la Chama, chaapu muamala unasoma.
Chamaaa Babaaaaaaaaa!!! Triple C, mwamba wa lusaka.
[emoji881]
Aione secretarybird mtu mBadBao tamu kama cha asubuhi😀🔥🔥
Chama fundi wa boli
Hamna kitu mle mzee wa kono la nyani🏃♂️Aione secretarybird mtu mBad
Leo ubishi umemalizwa huku niliko kuhusu Chama na Pakome zoa zoa.Bao tamu kama cha asubuhi[emoji3][emoji91][emoji91]
Chama fundi wa boli
Pakome zoa zoa anachekesha kama hatokei kwenu 🤣Leo ubishi umemalizwa huku niliko kuhusu Chama na Pakome zoa zoa.
[emoji23][emoji23][emoji23], watu wanasema Chama hafananishwii na yoyoteee.
Watu weuweeeeeeeeee!!!!!! [emoji91][emoji91][emoji91]
Pacome Zoa zoa leo kakutwa offside 2, [emoji23][emoji23][emoji23]Offside ile acha kutamba kipuuzi
Bao la Chama ni tamu sana kuliko hata lili nimfungalo mke wangu Kila asubuhi.Aione secretarybird mtu mBad