Full Time: Simba SC 2-2 Yanga SC | NBC Premier League | Kariakoo Derby| Major Isamuhyo Stadium | 03.05.2026

WhatsApp Image 2025-06-27 at 22.56.22.jpeg
 
ingawa MPANZU alitoa assist ya hili la pili ,, lakini hachezi team work...hadi ashindwe...
Assist ya CHAMA ingekuwa MPANZU angeshoot tu.....
Alipata nafasi nyingi za kuchezesha team lakini alshooot...
Mpanzu alitakiwa half time akae bench.
 
Sare mmefurahia nyie, maana mnabweka kila kona.
Nafurahia bao la Chama, la kuombea mkopo bank yoyote Duanianiiii.
Hivi kuwa nyuma kwa goli 2 ndani ya dakika 10 tu halafu zinarudi zote na huku aliyetangulia anaomba mpira uishe, sio jambo la kufurahia hio? Mkubwa atabaki kuwa mkubwa tu siku zote hata ukigoma kumpa heshima yake ila uhalisia haujifichi. Ule msako mmepewa dhidi ya kocha kilaza sasa ngoja itokee kocha mwenye ukatili kama wa Gamondi huko mbeleni
 
Wee nae unaongea upuuzi gani? Huyo Gamondi hakuwepo? Nabbi je? Mbona hata hatuoni huo msako unao usema hapaa?

Wenzako wamekataa zoa zoa huko na wanasema pacha wa zuwena, yeye awe buzzy kuweka nywele naksi awe mrembo, ball amuachie Triple C.
 
Kwali aliyekupiga goli 5 kumbe hakuwa Gamondi bali ni nani? Kama halukuwa na msako basi sawa maana kujadiliana maswala ya mpira na shabiki wa timu huwa ni kazi ngumu ambayo sitoiweza labda kama ungekuwa ni shabiki wa mpira tungeelewana kwasababu unaangalia mpira katika jicho la burudani na sio kimahaba ya timu. Sawa hakukuwa na msako
 
Dunia nzima inazungumzia bao la chamaa. Una lipi la kusema??
 
Back
Top Bottom