Full Time: Simba SC 2-2 Yanga SC | NBC Premier League | Kariakoo Derby| Major Isamuhyo Stadium | 03.05.2026

Mbaya sana Manchester kushinda ushindi mwembamba wa 3 kwa 2 dhidi ya liva kuku
 
Kuandika Goal la Dube ukaona utanenepa mtani
 
Wanagombana huko kuna mtu kasahau kutoa mtambo wa Magoli walioufukia goli zimerudi.
 
Dube alikuwa anaimaliza mechi, ila si mlaumu sana kwa uwanja wa leo.
Sio mbaya safari hii ni wao wameomba mpira uishe, walishaanza kukosa heshima na kujiaminisha kuwa Yanga inapata matokeo kwa msaada wa akina Arajiga. Mechi mbili za ligi waamuzi wametoka uarabuni lakini Simba hakupata ushindi hivyo nadhani TFF waache kusumbua watu bure Simba kashindwa kumfunga Yanga ligi kuu hata refa angekuwa ni Pierluigi Collina.

Kushinda goli 2 kisha kuruhusu zirudi zote ni tatizo la mentality ya timu ndogo, kufanya comeback ya goli zaidi ya moja ni mentality ya timu kubwa. Yanga angezitangulia zile mbili tena ndani ya dakika chache tu, nadhani stori ya dakika 90 ingekuwa ni timu kuoga magoli mengi.
 
Nenda Bank yoyote ile Duniani, omba mkopo dhamana weka bao la Chama, chaapu muamala unasoma.

Chamaaa Babaaaaaaaaa!!! Triple C, mwamba wa lusaka.
[emoji881]
Bao tamu kama cha asubuhi😀🔥🔥
Chama fundi wa boli
 
Nenda Bank yoyote ile Duniani, omba mkopo dhamana weka bao la Chama, chaapu muamala unasoma.

Chamaaa Babaaaaaaaaa!!! Triple C, mwamba wa lusaka.
[emoji881]
Offside ile acha kutamba kipuuzi
 
Leo ubishi umemalizwa huku niliko kuhusu Chama na Pakome zoa zoa.
[emoji23][emoji23][emoji23], watu wanasema Chama hafananishwii na yoyoteee.
Watu weuweeeeeeeeee!!!!!! [emoji91][emoji91][emoji91]
Pakome zoa zoa anachekesha kama hatokei kwenu 🤣
Chama anazeeka na utamu wake🔥
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…