OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
- Thread starter
-
- #261
Ingiza Yanga basiWachezaji nane wa Al Merrikh wakutwa na Corona. Wenyewe wadai kuhujumiwa
Muda mfupi kabla ya mpira kuanza, ripoti ya Corona imeonesha wachezaji nane wa Al MERRIKH ya Sudan wana maambukizi ya virusi vya Corona. Kupitia ukurasa rasmi wa Istagram wa Al Merrikh umeripoti kuwa wanaamini ni mpango wa kuwadhoofisha ambao umechezwa jambo ambalo limewafanya wapeleke file...www.jamiiforums.com
Sent from my SM-J720F using JamiiForums mobile app
Kile kikosi cha kwanza walichocheza Sudan kilikuwa kipimo sahihiINASIKITISHA SANA KWA KWELI
Si mlikuwa mnatukana na kusema atolewe? Au sio nyinyi? Nilichogundua hapa duniani usifuate maneno ya watu, we angalia malengo yako na usonge mbele, kama anavyofanya JPMHii ndio tunataka sasa The Animal Mugalu
Jamani jamani simba hiiHahahaha Mugaluuuuuu Simba 3 Merrick 0
Si mlikuwa mnatukana na kusema atolewe? Au sio nyinyi? Nilichogundua hapa duniani usifuate maneno ya watu, we angalia malengo yako nanusonge mbele, kama anavyofanya JPM
Usisahau kutuma na ya kutoleaNianze kuponda mikia sasa...mkeka ushatiki[emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa burudani Kama hii naanzaje kuteseka
Amefunga goli baada ya kukosa nafasi ngapi ?? Striker unapata chance 3 za wazi unafunga 1 ulitaka tumsifie tu.Si mlikuwa mnatukana na kusema atolewe? Au sio nyinyi? Nilichogundua hapa duniani usifuate maneno ya watu, we angalia malengo yako nanusonge mbele, kama anavyofanya JPM
Kile kikosi cha kwanza walichocheza Sudan kilikuwa kipimo sahihi
Sent from my SM-J720F using JamiiForums mobile app
NaaamHii simba ni zaid ya barcelona ya inesta, wakipoteza mpira wanausaka kama wanasaka mwizi yan!! Simba raha!!!!
Mashabiki wangekuwepo saiz ingekua 7