OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
- Thread starter
- #261
Ingiza Yanga basiWachezaji nane wa Al Merrikh wakutwa na Corona. Wenyewe wadai kuhujumiwa
Muda mfupi kabla ya mpira kuanza, ripoti ya Corona imeonesha wachezaji nane wa Al MERRIKH ya Sudan wana maambukizi ya virusi vya Corona. Kupitia ukurasa rasmi wa Istagram wa Al Merrikh umeripoti kuwa wanaamini ni mpango wa kuwadhoofisha ambao umechezwa jambo ambalo limewafanya wapeleke file...www.jamiiforums.com
Sent from my SM-J720F using JamiiForums mobile app