Full Time: Simba SC 3 - 0 Al Merrikh

😅😄😃😂😁😀
Sina Hofu, Mashaka Wala Tashwishwi Na Simba
 
Simba atakuwa amefuzu robo fainali baada ya kufanya vyema mechi yake ya mwisho dhidi ya As Vita. Otherwise mambo yanaweza badilika na story ikawa nyingine, hivyo wasibweteke, mechi yao na Vita itakuwA Ni fainali amini usiamini, ninachangia Kama mpenda soka. Narudia Tena Simba wasibweteke, hiyo mechi Ni ngumu mno kuliko fikra za wengi. Mungu ibariki Simba, Mungu ibariki Tanzania, sisi Yanga tunaangalia na kujifunza mnakopitia, ili tukipata nafasi nasi tusiwaangushe watz.
 
Fisi endelea kufuatilia! Mkono wa mtu unaweza kudondoka ukapata kitoweo! Hayo ndo mawazo ya utopolo!
 
Ndio maana nimesema 95% na sio 100% mkuu
Sawa mkuu.
Kwa mfano Vita akishinda mechi zake zilizobakia na Simba afungwe zote,apo watalingana point kati ya Simba na Vita,je nani atapita apo?
 
Siyo Yanga mkipata nafasi, sema simba itakapowabeba utopolo msiende kuaibisha.
 
Siyo Yanga mkipata nafasi, sema simba itakapowabeba utopolo msiende kuaibisha.
Kaka katika mchango wangu umeona Hilo tuu. Hata hivyo nakupongeza ndugu yangu Ila furahini kwa kiasi, usipitilize mkuu.
 
Sawa mkuu.
Kwa mfano Vita akishinda mechi zake zilizobakia na Simba afungwe zote,apo watalingana point kati ya Simba na Vita,je nani atapita apo?
Hapo sasa yataangaliwa magoli ya kufunga na kufungwa na wakati mwingine head to head ilikuaje mkuu
 

Mkuu we ni mshabiki kabisa sio wale wenzio wana ushabiki maandazi.

Inabidi tukaze kweli hyo mechi na As Vital
 
Sawa mkuu.
Kwa mfano Vita akishinda mechi zake zilizobakia na Simba afungwe zote,apo watalingana point kati ya Simba na Vita,je nani atapita apo?
Itategemea AS Vita atamfunga Simba goli ngapi. Ili Vita apite atatakiwa kumfunga Simba pale Kwa Mkapa kwa tofauti ya kuanzia goli 2, yaan 2-0, 3-1 etc.

Maana timu zinapolingana points huangaliwa H2H baina yao. Sijajua kama hii H2H huhusisha pia advantage ya goli za ugenini
 
Mimi nadhani kama simba atafungwa game zote na Vita akashinda zote kitakachoangaliwa ni goal difference ambayo mpaka sasa bado inambeba Simba ambaye amefunga magoli 5 na hajafungwa lolote hivyo ana goal difference ya +5, huku Vita amefunga 6 na amefungwa 6 hivyo ana goal difference ya 0.

Hivyo ili vita apite inabidi amfunge Simba goal labda 3 pia Ahly amfunge simba magoli mengi huku Vita akiendelea kujitahidi asifungwe zaidi ili goal difference zimbebe,

Ni kwa mtazamo na maono yangu,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…