Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,627
- 38,689
Ila kubalini wanasimba chama makali yameisha..
Kuna moves anaziua kijinga sana
Kuna moves anaziua kijinga sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zaidi ya kutafuna tafuna big G hakuna lolote analofanyaMugalu jinga sana hili jamaa
Lokosa hayupo hata Sub tuna mnyama mwenzetu kagere sijui kwann da Rosa anatufanyia hiviHuyu Mugallu ni punda
Weka Lokosa 2nd half
Ana watetezi wake humu nadhani wana nguvu hata kwenye maamuzi ya upangaji timu.Huyu jamaa amempa nini kocha
Hapa ndio kuna mmenyoVita 0
Ahly 2
Anatuchelewesha kufika nchi ya ahadi.Mugalu ni utopolo huyo
Angalia lisije kurudi mkaongezwa
Mpuuzi sanaZaidi ya kutafuna tafuna big G hakuna lolote analofanya