Mpalakugenda
JF-Expert Member
- Jun 2, 2015
- 4,611
- 5,009
Ndio maana bado tunajenga teamIla Simba inakosa magoli ya wazi saaana.
Mpira una mambo ya kikatili sanaAaah ila Mpanzu sasa unakosaje kama pale??
hata kama tumetoa droo Jana sio kwa kutuzarau huku πYanga gemu hii angetoa droo
Kariakoo labda kama unamaanisha Yanga na KMCYUle jamaa ni mali msimu ujao usishangae kumuona moja ya kariakoo kama ataendeleza ubora wake halafu jamaa Height inambeba ..
Anatumia Nguvu sana kupigaAaah ila Mpanzu sasa unakosaje kama pale??
We dada upoMechi ya maana ilikuwa jana Utopolo na JKT
Ha ha poleni wauguzi, mwongezi dozi aponeMwajipima nguvu na mgonjwa kitandani
Bahasha we huoniYani Simba wanacheza very confortable aiseeπ π π Prisons wakipoteza mpira hawakabi wanatulia tu aisee kama vile wameenda kukamilisha ratiba
Acha kubeza uwekezaji wa watu..Yanga gemu hii angetoa droo
Aisee hata kama bahasha sio hiviπ πBahasha we huoni
mfa maji haishi kutapatapaNmetune hapa nione KMC pana nini daahπ π π Prisons washuke daraja tuπ π aisee utasema ni timu ya ndondo