Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 2,971
- 9,437
Kolo alicheza jana leo anacheza Simba sc, muwakilishi pekee aliesalia kwenye michuano ya kimataifa. Unabisha?Utabiri wng ni kolo 1 - 2 kwa wajela jela
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kolo alicheza jana leo anacheza Simba sc, muwakilishi pekee aliesalia kwenye michuano ya kimataifa. Unabisha?Utabiri wng ni kolo 1 - 2 kwa wajela jela
Mtumie hela maombi yako yatajibiwa yaani sadaka ya milioni 3 tu inatosha ombi lako kujibiwa....Namwombea Samson Mbangula afanye kazi yake sawasawa.
Maafande ilikuwa Jana , hawa wa leo ni wajelajela!Watanzania wengi wako upande wa Maafande leo.
Usikariri Kamanda! Huku kwetu mpaka Mgambo wa Kijiji anaitwa Afande.Maafande ilikuwa Jana , hawa wa leo ni wajelajela!
Naitakia ushindi mkubwa chama langu Simba SportsSimba SC VS Tanzania Prisons
| NBC Premier League
| KMC Complex
| 11 Februari, 2025
Saa 10:00 Jioni
View attachment 3232752
Afande Mzee Mpili 😆😀😃😂Usikariri Kamanda! Huku kwetu mpaka Mgambo wa Kijiji anaitwa Afande.
Utasubiri sanaa 🥵Lolote baya liwakute Makolo..!
Watanzania wengi wako upande wa Maafande leo.
Amka Kumekucha Usikojolee KilagoLolote baya liwakute Makolo..!
😄😄. UMMMA udugu zingatia MMM ziwe tatu"Taarifa kwa Umma: Kuta kuwa na Muungurumo mkali wa Simba leo..