Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huko nyuma mwiko sio?Usikariri Kamanda! Huku kwetu mpaka Mgambo wa Kijiji anaitwa Afande.
Nasikia huko hata mwalimu wa madrasa huitwa kocha....Usikariri Kamanda! Huku kwetu mpaka Mgambo wa Kijiji anaitwa Afande.
Lolote baya liwakute Makolo..!
Asipofunga atatengeneza njia kwa wafungaji wenza, wanaojua football pekee ndo wataelewa nacho maanisha.Leo Mpanzu atafunga goli kwa mara ya kwanza
Ya kujifunga two games mfululizoLeo kocha amuanzishe CHASAMBI dogo ataandika Historia!
Lolote baya liwakute Makolo..!
Haya ndiyo hufanya mshindwe kufikia malengo yenu. Unamuombea mume wa mwenzio naye akose kazi kwa kuwa mumeo ni mzembeUtabiri wng ni kolo 1 - 2 kwa wajela jela
Muda utaongea ni mwalimu mzuri jioni sio mbalii 😁Haya ndiyo hufanya mshindwe kufikia malengo yenu. Unamuombea mume wa mwenzio naye akose kazi kwa kuwa mumeo ni mzembe
Kama jana walivyokuwa na wale Maafande wengineWatanzania wengi wako upande wa Maafande leo.