Full Time: Simba SC 3-0 Tanzania Prisons | NBC Premier League | KMC Complex | 11 Februari, 2025

Hivi hawa makipa ni uwezo wao siku zote au ni kukamia tu?

Maana hata yule wa Fountain tulimuona akiwa bora lakini mechi iliyofuata akatoa boko
Tatizo ni upigaji. Ona alivyopiga Ateba, kamlenga kipa padala ya kupiga kushoto
 
Makolo tumieni vzr izo nafas zenu mtakuja kumtafuta wa kumlaumu hamunae 🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…