Full Time: Simba SC 3-0 Tanzania Prisons | NBC Premier League | KMC Complex | 11 Februari, 2025

Full Time: Simba SC 3-0 Tanzania Prisons | NBC Premier League | KMC Complex | 11 Februari, 2025

Mapovu, league ngumu hii, bishwa mfungwe kabisa
Upi dunia ipi? Haya chukua viatu kasawazishe wa kwetu
IMG_5253.jpeg
 
Katika kinachoniudhi zaidi ni hizi timu kuamini hazitakiwi kushindwa wala kutoa draw
Ama ubingwa kuamuliwa siku ya mwisho! Yani sijui tumejileaje ili ligi inoge hapatakiwi pawe na uhakika
Yani inasikitisha sana
Ukiwa shabiki wa timu fulani halafu huamini kama timu yako inatakiwa kuwa Bingwa, basi huna sababu ya kuwa shabiki wa hiyo timu.
 
Back
Top Bottom