Full Time: Simba SC 3-0 Tanzania Prisons | NBC Premier League | KMC Complex | 11 Februari, 2025

Makolo wakishapata goli tu huwa wanajisahau ndo wanapoadhibiwa 😁
 
Katika kitu kinashangaza msimu huu Simba na Yanga zote zipo kwenye ubora usiopishana. Hakuna mwenye uhakika
Katika kinachoniudhi zaidi ni hizi timu kuamini hazitakiwi kushindwa wala kutoa draw
Ama ubingwa kuamuliwa siku ya mwisho! Yani sijui tumejileaje ili ligi inoge hapatakiwi pawe na uhakika
Yani inasikitisha sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…