Full Time: Simba SC 3-0 Tanzania Prisons | NBC Premier League | KMC Complex | 11 Februari, 2025

Katika kinachoniudhi zaidi ni hizi timu kuamini hazitakiwi kushindwa wala kutoa draw
Ama ubingwa kuamuliwa siku ya mwisho! Yani sijui tumejileaje ili ligi inoge hapatakiwi pawe na uhakika
Yani inasikitisha sana
Ukiwa shabiki wa timu fulani halafu huamini kama timu yako inatakiwa kuwa Bingwa, basi huna sababu ya kuwa shabiki wa hiyo timu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…