3 Angels message
JF-Expert Member
- Aug 3, 2017
- 5,350
- 15,426
Naiona huzuni yako mkuu, pole sanaBasi leo tutapata shida. Ila majibu mtayapata zaidi siku ya tar 08 March
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naiona huzuni yako mkuu, pole sanaBasi leo tutapata shida. Ila majibu mtayapata zaidi siku ya tar 08 March
Nani kakwambia Yanga inatafutaga makosa?Yanga sijui tutatafuta kosa gani kwenye hii mechi
HayahesabikiHiv mpaka mda huu Simba angekuwa anaongoza magoli mangapi?
Anazeeka na utamu wake.Ila huyo Kapombe anavyopiga maV passes ni hatari
YUle jamaa ni mali msimu ujao usishangae kumuona moja ya kariakoo kama ataendeleza ubora wake halafu jamaa Height inambeba ..Daaah nilisahau kuwa huyu kipa alikuwa na red
Me naona ma4 yaliyokoswa so ukiongeza haya ma3 _ zingekuwa 7Hayahesabiki
Tena kaanza kitambo sana na hizi pasi zake za viwango.Naunga mkono hoja, ila huyu kapombe ana pasi za upendo hadi sio poa
Timu za Mbeya mdebwedoSimba SC VS Tanzania Prisons
| NBC Premier League
| KMC Complex
| 11 Februari, 2025
Saa 10:00 Jioni
VIKOSI VYA TIMU ZOTE
Mechi imeanza
1' Simba SC 0-0 Tanzania Prisons
2' Simba wanapata Kona na inapigwa na Mpanzu
3' Simba wanapiga Kona ya pili
4' Sabiyanka anaoneshwa kadi ya Njano
7' Simba wanapiga Kona
13' Simba wanapiga Kona
17' Hakuna aliyeona lango la mwenzake huku Golikipa wa TZ Prisons akipatiwa matibabu na madaktari
22' Sebusebu anawanyima Simba bao la uongozi kwa save ya maana
27' Simba wanapiga Kona
29' Goooooal Ahoua anaitanguliza Simba
32' Simba wanapiga Kona
33' Simba wanafanya Sub: Hamza anatoka, Karaboue Chamou anaingia
38' Sebusebu anapatiwa matibabu
40' Simba wanapiga Kona
44' Goooooal Mpaaanzu anafunga goli la pili
45+1' Goooooal Chasambi anafunga goal la tatu
HT: Simba SC 3-0 Tanzania Prisons
Yaliyokosewa hayahesabiwi wewe kubali tu mmefunga 3 hizo habari za 7 hazipoMe naona ma4 yaliyokoswa so ukiongeza haya ma3 _ zingekuwa 7
PoleSipendi Simba wakifunga💔
Chomoa huo mwiko wewemtangazaji anakazq koo utasema mechi ya maana kumbe upumbavu
Mimi Uto mkipigwa nasikia raha zaidi ya ninavyokojoa wazunguSipendi Simba wakifunga💔