OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Mugalu ametuchelewesha sanaKagere in mugallu out
Kashafika tiyari mkuuSimba nusu fainali anafika mwaka huu.
Haaa haaa hujambo dogoAl Merrikh 2 Al Ahly 0
Dakika ya 69
Hapana leo atakuwa ana machungu ya msiba ... Mugalu mechi za nyuma amecheza vzuri...huyu tumepigwa pakubwa sana
Na tukifika nusu fainali ni kugusa tu.Simba nusu fainali anafika mwaka huu.
Mpira ukiisha hivi?Al Merrikh 2 Al Ahly 0
Dakika ya 69
Fainali kabisa.Simba nusu fainali anafika mwaka huu.
Dah, serious namuona Mamelodi kwangu ndie kikwazo pekee, hao waarabu wengine ukiondoa fitna mpira wao wa kawaida tuSimba tunachukua ubingwa