Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Haya mimi na kocha tumewasikiaSijui kwanini kocha hamtoi huyu Mugalu leo hayuko vizuri aisee atoke apumzike
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya mimi na kocha tumewasikiaSijui kwanini kocha hamtoi huyu Mugalu leo hayuko vizuri aisee atoke apumzike
Vp bana mbona hamna adabu kwa kocha na wachezaji wenu!!?Maaaamaeee mugalu na cochaaa
mipuuzi mingine bwana,wote tunazungumza lugha moja humu,kina mmoja tu ndo analeta nuksiRobo Fainali mtaumia sana mikia... Dahh...
Au kagere mzee wa kuvizia, anaweza akatipiaNafasi alizo kosa Mugali hata akipewa mama yake mzazi hakosi nafasi 4 clear.
Na mshahara analipwa na hao hao?Jamaa si anacheza Nawa Congo Wenzake Kaka.
huyu hata safari asiende,kima huyuNitashangaa sana Mugalu akianza mechi ijayo
Tulia wewe upotoloVp bana mbona hamna adabu kwa kocha na wachezaji wenu!!?
Kuweni na adabu...Tulia wewe upotolo
Kaishakuwa mwendazake now tujadili mazuri yakeHuyu Mugalu achunguzwe
Lazima atakuwa amebet
anaweza kuwa anatumika na wacongo wenzakeHuyu Mugalu achunguzwe
Lazima atakuwa amebet
Kuna kipindi uongozi wa Simba uliwahi kutoa ufafanuzi kuhusu timu ngeni kuazima au kukodisha gari la timu yoyote nyingine ya Bongo, na walisema ni utaratibu wa kawaida, wala hakuna hujuma. Kama wageni hawataki kutumia gari au hoteli mliyowaandalia, hakuna tatizo wakitafuta vya kwao kwa gharama za ziada za kwaoSimba aliwakodishia Basi la Happy Nation wakalikataa wakachukua kivyao la Friends wao Azam. Anyway vyovyote iwavyo sawa👍👍👍