FULL TIME: Simba Sc 4-1 AS Vita | CAFCL | Mkapa Stadium

FULL TIME: Simba Sc 4-1 AS Vita | CAFCL | Mkapa Stadium

MASHABIKI WA SIMBA WENYE MAPENZI NA TIMU, TUTAWASILISHA MALALAMIKO KWA JENERALI MBUNG'O WA PCCCB KUMCHUNGUZA MUGALU dhidi ya WACONGO WENZAKE.
Kuna kila ushahidi jamaaa kapewa Dolla 20,000/= kufanya yale ambayo ametufanyia hapa Uwanja wa Mkapa.

SAY NO TO MUGALU.
 
Simba aliwakodishia Basi la Happy Nation wakalikataa wakachukua kivyao la Friends wao Azam. Anyway vyovyote iwavyo sawa👍👍👍
Kuna kipindi uongozi wa Simba uliwahi kutoa ufafanuzi kuhusu timu ngeni kuazima au kukodisha gari la timu yoyote nyingine ya Bongo, na walisema ni utaratibu wa kawaida, wala hakuna hujuma. Kama wageni hawataki kutumia gari au hoteli mliyowaandalia, hakuna tatizo wakitafuta vya kwao kwa gharama za ziada za kwao
 
Back
Top Bottom