FULL TIME: Simba Sc 4-1 AS Vita | CAFCL | Mkapa Stadium

Naaaaam mpira umeishaaa Simba points 13 moja kwa moja robo fainali.

Haya tunasubiri hao al hilaly Onduman washindi wapili wa kundi B.

Alafu wape salamu Al Ahly, waambieni kuwa bado tuna kazi nao huko Misri japo Leo wamepata sare lakini wajue kuwa kipigo kinakuja hapo hapo kwao.
 
Shida ni utoto wenu, mifumo ya uchezaji wa ligi unabadirika kwa hiyo usianze kuleta ngonjera na sijui pointi 10 sijui ya kwanza
 
Leo nagawa heineken tuuuuuu
Aisee full shangwe hapa nilipo aisee, tumewaka mbaya. Kuna vi-utopolo vilikwepo mwanzoni vilishangilia Vita walivyorudisha, vimekimbia vyote!
Huyu kocha ni bonge la tactician aisee.... Effect ya sabu zake huwa inaonekana positively.
Simba tuache papara, tudumu na huyu kocha tujenge timu ya kusumbua Afrika nzima naona akitufikisha mbali sana!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…