Utopologist
JF-Expert Member
- Feb 17, 2021
- 998
- 2,506
Ahly wamesawazisha lala salama
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaonaje Ed Woodward na washkaji zake wakija kupata mafunzo kidogo pale msimbazi?mechi sijaiona na youtube hakwendeki kwa sababu ya bando. hongera simba kwa uwekezaji ulio na ubora
2 kwa 2 hiyo mechi ya MerrickFT
Simba 4- 1 Vita
Merrick 2-1 Ahl
Shida ni utoto wenu, mifumo ya uchezaji wa ligi unabadirika kwa hiyo usianze kuleta ngonjera na sijui pointi 10 sijui ya kwanzaMechi ni mapumziko kwa sasa
Matokeo mpaka sasa
Al - Merreikh 2 Al Ahly 0
Kama mnavyojua Uwanja wa Mkapa Simba yuko mbele kwa goli 2-1 mpaka sasa dhidi ya wacongo (As Vital O) na ni mapumziko pia.
Matokeo yakiisha hivi katika viwanja vyote manake Simba anaingai robo fainali kwa kuongoza kundi lake jambo ambalo halijawahi kufanywa na Club yoyote ya Africa Mashariki (kuingia hatua hii kwa kuongoza kundi na kupata point zaidi ya 10). Hii itakuwa historia ambayo inaweza isijirudie tena mpaka kizazi chetu kipotee..
Aisee full shangwe hapa nilipo aisee, tumewaka mbaya. Kuna vi-utopolo vilikwepo mwanzoni vilishangilia Vita walivyorudisha, vimekimbia vyote!Leo nagawa heineken tuuuuuu
Habari zenu tunazo, daraja chaliiiMnyama mkali hahaha
😂😂😂😂leo mtajua kwamba hamjui
HaitamsaidiaMmiliki wa ASV, ametangaza siku saba za kufunga nakuiombea simba imfunge Mwarabu wa misri.
Wanaliaaaa poleeeeeeeUkiangalia Body Language za Utopolo unawahisi wazi kuwa wanajisemea "KWELI SIMBA NI YA VIWANGO VYA JUU" lakini tu hawataki kukiri waziwazi [emoji23][emoji23][emoji23]