FULL TIME: Simba Sc 4-1 AS Vita | CAFCL | Mkapa Stadium

Hii ndo Kulitaka Mwana Kulipewa Mwana
As Vita Club wamelitaka wenyewe kwa Simba SC...!

Nguvu Moja
 
Ukiangalia Body Language za Utopolo unawahisi wazi kuwa wanajisemea "KWELI SIMBA NI YA VIWANGO VYA JUU" lakini tu hawataki kukiri waziwazi [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]United msimu ujao tunarudi juu,tutaona kama na nyie mtasema hilo waziwazi.
 
Ila shishimbi ana shida sana na hii simba, mara ya mwisho katoka kwa mkapa alikula 4-1 leo karudi kwa mkapa kala 4-1
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…