FULL TIME: Simba Sc 4-1 AS Vita | CAFCL | Mkapa Stadium

Hii ni bab kubwa ... Simba imekuwa timu ya kwanza ya Tanzania kushinda (win) group ktk champions league. Haijatokea tangu dunia iumbwe

Unawajua Utopolo wewe?
Baada ya Simba kuwa na rekodi ya Kufika Robo Fainali mara kwa mara Uto wameibuka na False Story from nowhere kuwa wao ndiyo Timu ya Mwanzo kwa Tanzania kufika Fainali ya CAF CL, lakini ukiwauliza mulifika mwaka gani basi hawana jibu kwani aliyewadanganya hakuwaambia na mwaka husika.

Basi subiri baada ya Miaka kama Mitano hivi kupita, Uto watakuja na Stori za kuwa Yanga ndiyo Timu ya mwanzo kuwahi Kuongoza Kundi CAF CL 😂😂
 
Wacha bwana,kwa hiyo tumeweka historia, ASANTE MAMA SAMIA KWA UONGOZI WAKO BORA, UMEIFANYA SIMBA ISHINDE.
Hii ni bab kubwa ... Simba imekuwa timu ya kwanza ya Tanzania kushinda (win) group ktk champions league. Haijatokea tangu dunia iumbwe
 
Simba wamenikera sana leo kwa kuwasahaulisha Watu ya Mwakalebela 800kg 😂😂
 
Unawajua Utopolo wewe?
Baada ya Simba kuwa na rekodi ya Kufika Robo Fainali mara kwa mara Uto wameibuka na False Story from nowhere kuwa wao ndiyo Timu ya Mwanzo kwa Tanzania kufika Fainali ya CAF CL, lakini ukiwauliza mulifika mwaka gani basi hawana jibu kwani aliyewadanganya hakuwaambia na mwaka husika.

Basi subiri baada ya Miaka kama Mitano hivi kupita, Uto watakuja na Stori za kuwa Yanga ndiyo Timu ya mwanzo kuwahi Kuongoza Kundi CAF CL 😂😂
Mi nadhani tuwaombe CAF Utopolo wacheze na Al Ahly mechi ya mwisho...

Maana kwetu haina umuhimu tena
 
Back
Top Bottom