OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
halafu hata haturingi yaaniAkitunga anaishia point 11. Sisi tuna 13 Hawezi kutufikia mpaka sasa sisi ni group winner na mechi Moja mkononi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
halafu hata haturingi yaaniAkitunga anaishia point 11. Sisi tuna 13 Hawezi kutufikia mpaka sasa sisi ni group winner na mechi Moja mkononi.
Chikwende hachez Aya mshindano Alisha chezea Tim nyingineHivi Chikwende majeruhi?
Tupewe Al Hilal tuwachakaze
Mamelodi ni group winner hatuwezi kukutana nae.Mamelod tunawaweza wale...timu za waarabu ndio mbaya. Tukikutana na ngozi nyeusi yoyote ni afadhali kwetu...
Naona Mazembe nao wameaga mashindano kama As Vita!Tupewe Al Hilal tuwachakaze
Hii ni bab kubwa ... Simba imekuwa timu ya kwanza ya Tanzania kushinda (win) group ktk champions league. Haijatokea tangu dunia iumbwe
Mkuu naomba TP Mazembe wamwachie Al Hilal kwao. Tumalize kazi kulekule SudaneMkuu wale waalgeria nao sio wa kitoto,KILA LA KHERY MNYAMA.
Angalau na sisi Yanga tutapanda ndege mwakani. Nchi itakuwa na wawakilishi wa nne.Yanga wanaona kama wapo ndotoni.
...🙄🙄🙄...raha zinaweza kuua ee..?Itatuua kwa raha wanazotupa
Mkuu Mamelodi wapo vizuri tusikatae japo katika mpira lolote laweza kutokea maana hata sisi tulimchapa Ahly kinyume na ya wengi.Mamelod tunawaweza wale...timu za waarabu ndio mbaya. Tukikutana na ngozi nyeusi yoyote ni afadhali kwetu...
Vip ivi ahly akitushinda bao nne tunaweza kuwa group winner
Hii ni bab kubwa ... Simba imekuwa timu ya kwanza ya Tanzania kushinda (win) group ktk champions league. Haijatokea tangu dunia iumbwe
[emoji23][emoji23][emoji23]United msimu ujao tunarudi juu,tutaona kama na nyie mtasema hilo waziwazi.
Mi nadhani tuwaombe CAF Utopolo wacheze na Al Ahly mechi ya mwisho...Unawajua Utopolo wewe?
Baada ya Simba kuwa na rekodi ya Kufika Robo Fainali mara kwa mara Uto wameibuka na False Story from nowhere kuwa wao ndiyo Timu ya Mwanzo kwa Tanzania kufika Fainali ya CAF CL, lakini ukiwauliza mulifika mwaka gani basi hawana jibu kwani aliyewadanganya hakuwaambia na mwaka husika.
Basi subiri baada ya Miaka kama Mitano hivi kupita, Uto watakuja na Stori za kuwa Yanga ndiyo Timu ya mwanzo kuwahi Kuongoza Kundi CAF CL 😂😂
Asante Mungu umetuepusha na Mamelod mbwa wale