KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 19,185
- 37,239
Hapana Sisi tunakutana na waarabu wa Algeria.......Tupewe Al Hilal tuwachakaze
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana Sisi tunakutana na waarabu wa Algeria.......Tupewe Al Hilal tuwachakaze
Sawa kabisaHata sasa timu hii misri imeshapita nafasi yake ya pili kwa pointi nane alizonazo kwa maana hata Vita akishinda mechi yake ya mwisho atafikisha pointi saba.
😅😅😅😅😅Simba ndio kitu pekee kinatuunganisha na Mama D
Hahah kama ipo ipo tu Simara mimi ni nani hata nikatae my [emoji23]??acha wehu[emoji2][emoji23]
Uliona mbali sanaDuh,kwahiki kikosi haki ya Mungu haponi mtu.
Zimepungua basi goli tatu.
Simbaaaaaa
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Hizo hadithi mwisho wenu leo