FULL TIME: Simba Sc 4-1 AS Vita | CAFCL | Mkapa Stadium

FULL TIME: Simba Sc 4-1 AS Vita | CAFCL | Mkapa Stadium

Daaah wachezaji wali-relax Sana kwa furaha baada ya kufunga lile goli moja. Simba inabidi ikaze sana hii mechi vinginevyo tutapoteza kwa ujinga wetu.

Kwanza Mugalu mzinguaji sana, Sasa hivi ilitakiwa tuwe tunaongoza mbili, kitu linabaki na kipa, mabeki walishakata tamaa ila linashindwa kufunga.
Mnamlaumu kashindwa kufunga kwani kazi ya yule Goalkeeper ni nini?...ingekuwa Manula kacheza hivyo si mngempongeza?.
 
Nilikua Niko majonzini Hadi siku 21 ziishe,lakini kuanzia usiku huu nimehamishia Kijiji nyumbani kwangu,watu wanacheza ngoma na kunywa pombe za kienyeji,nimenunua pipa Saba na pombe nimechinja ng'ombe watu wanakula wanakunywa na kucheza.

Ila baada ya kulewa naona wanenda pembeni kulia,ukiwauliza kwa Nini wanalia,wanasema wamemkumhuka jembe lao.
Basi ndo hivyo Tena,msiba umevamiwa.

Simba oyeeee!
 
Wadau kama kuna mtu anajiamini kabisa kwamba Uchawi uppo mimi nimpe tenda, MUGALU awe mgonjwa kila mechi ya Simba ili asipangwe. Nipo tayari kutoa donge nono.
All Simba Fans "SAY NO TO MUGALU"
Usifikiri atakayecheza badala ya Mugalu basi naye atakutana na nafasi hziohizo anazopata Mugalu.....kunaweza kusiwe na hizo kosakosa na ikawa "no Mugalu no nafasi za wazi"
 
Mamelod wana balaa
Hawa mamelod wana point sawa na simba, kwa nini mnawaogopa sana? Wametuzidi goli moja la kufunga. Tumefungwa goli moja tu sio kama wao.

Wamecheza na mazembe wakashinda nje ndani tumecheza na vita tumeshinda nje ndani, wamedroo na al hilal sudan tumedroo na bingwa wa sudan el merreikh huko sudan.

Mnamuogopea nini hasa au kwa takwimu zipi ni mkali zaidi ya simba? Tena naweza sema grpup lao halikua gumu kama la simba
 
Nilikua Niko majonzini Hadi siku 21 ziishe,lakini kuanzia usiku huu nimehamishia Kijiji nyumbani kwangu,watu wanacheza ngoma na kunywa pombe za kienyeji,nimenunua pipa Saba na pombe nimechinja ng'ombe watu wanakula wanakunywa na kucheza...
Acha waendelee kukia tu hamna neno.
 
Umeandika neno Pombe umenikumbusha na mimi msiba,nilikua nishasahau kwa jinsi Simba walichofanya kwa bamutu ba Congo.
 
Back
Top Bottom