FULL TIME: Simba Sc 4-1 AS Vita | CAFCL | Mkapa Stadium

FULL TIME: Simba Sc 4-1 AS Vita | CAFCL | Mkapa Stadium

Mnyama anafuzu kucheza hatua ya robo fainali Amchapa AS Vita 4-1

Mnyama anafuzu kucheza hatua ya robo fainali akiwa kiongozi wa kundi lake, wametimiza pointi 13 ambazo haziwezi kufikiwa na timu yoyote kwenye kundi hilo.

El Merreikh na Al Ahly wametoka sare ya 2-2.
 
20210403_193059.png
 
Tunaona jinsi Rais Samia Suluhu alivyoanza kwa kishindo. Leo Simba imeweza wakilisha vyema Taifa la Tanzania kwa kuwachapa AS Vita bao 4-1 katika uwanja tulioachiwa na Baba yetu Mkapa Benjamini.

Hizi zote ni juhudi za mama yetu katika kuongoza nchi hii Kimataifa. Tuendelee kuiombea team yetu ya Afrika Mashariki ya Simba kuonesha Uzalendo.
 
Naunga mkono hoja! Bila juhudi za Rais wetu kipenzi, muda huu simba ingekuwa imeshagongwa goli 15 kwenye hatua hii ya makundi! Ila mpaka sasa imefungwa goli moja tu.

Hakika ikifika 2025, tunamuongezea 10 mingine, ili Simba awe Bingwa wa Afrika, na Taifa Stars wachukue kombe la Dunia na lile la Afcon!
 
Aise as vita ni over ratted tumejipigia kama coastal union tu
 
Back
Top Bottom