FULL TIME: Simba Sc 4-1 AS Vita | CAFCL | Mkapa Stadium

FULL TIME: Simba Sc 4-1 AS Vita | CAFCL | Mkapa Stadium

Goli la kwanza Hongera Mama Samia Suluhu kwa kua raisi wa kwanza mwanamke kwa Tanzania[emoji7]

Goli la pili Hongera kwa Dr Philip mpango kua makamu wa raisi

Goli la tatu karibu Mwigulu Nchemba ktk wizara ya Fedha ila usiwasaidie Uto [emoji196]

Goli la nne beba Kidimbwi [emoji196] mgongoni mwakani mashindano ya Kombe la Afrika kama Rozi Muhando alivyoimba [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

[emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123]
 
Hivi hiyo hadi sasa ana goli ngapi?
Anacheza nafasi ya Beki mbili. Asante Kwasi, alikuwa anacheza beki tatu lakini alikuwa na uwezo mkubwa sana wa kufunga magoli.
Mara nyingi mabeki ni wafungaji wazuri.
Mfano Erasto Nyoni.
Hata Manula ni Straika mzuri sema anacheza vizuri zaidi ktk nafasi ya Ugolikipa.
Angalia mechi ya kwanza ya CAF ya mwaka huu 2021 kati ya AS Vita na Al-Ahlly. Angalia Goli la kwanza Djuma aliwapunguza mabeki hadi akaingia kwenye boksi na kufunga goli la kwanza.
Mimi namwona kama straika bora sana kama atakaa kama mshambuliaji.
 
Haya ndio mafanikio makubwa toka dunia iumbwe timu yetu ya Simba kuyapata katika ngazi ya group stage .. I mean kuwa group winner ..Kama Kuna makosa wabobezi wanisahihishe
 
Sawa Mkuu.
Pale mbele tungeisimamisha mashine kama Prince Dube wa Azam, leo Vita wangekula hata gol saba.
Zile kosa kosa za Mugalu nisula zinipe ugonjwa wa Presha.
Nafasi moja ni muhimu sana katika mashindano makubwa.
Sawa kabisa , D Juma pia wamuhimu pamoja na central back mmoja kwa nafasi ya wawa
 
Huwezi amini waarabu washaingia uoga..kila timu inaomba isikutane na Simba..na ukiangalia game plan ya huyu kocha ya kujilinda away..basi hope kama tutajipanga vizuri tunaweza kuduwaza ulimwengu wa soka!
 
Sawa Mkuu.
Pale mbele tungeisimamisha mashine kama Prince Dube wa Azam, leo Vita wangekula hata gol saba.
Zile kosa kosa za Mugalu nisula zinipe ugonjwa wa Presha.
Nafasi moja ni muhimu sana katika mashindano makubwa.
Prince dube hajafikia level za champions league...acheni kukurupuka!
 
Prince dube hajafikia level za champions league...acheni kukurupuka!
Atazoea hukohuko:
Next season Kagere atafute malisho kwingine..
Huyu Mugalu naye trend yake haijakaa sawa:
By the way Mduwa sijui mduva central back ile imepotelea wapi
 
Back
Top Bottom