FULL TIME: Simba Sc 4-1 AS Vita | CAFCL | Mkapa Stadium

Achana na Mugalu, Hilo ni bonge la striker!! Kocha anajua hivyo! Ndiyo maana anampa nafasi!! Anamtengeneza! Akiwa tayari Moto wake si wa kitoto!! Mugalu Ana manufaa makubwa pale mbele !!
 
Achana na Mugalu, Hilo ni bonge la striker!! Kocha anajua hivyo! Ndiyo maana anampa nafasi!! Anamtengeneza! Akiwa tayari Moto wake si wa kitoto!! Mugalu Ana manufaa makubwa pale mbele !!
Manufaa yepi hebu yaeleze hapa, mechi zote za CAF hana goli la move zaidi ya ile penati ya Kongo.
Mechi na Vita kwa Mkapa alivyotolewa ndo magoli mawili yakapatikana kwa haraka.
Goli alilokosa la mwisho hadi kocha alishika kichwa na hakuchelewesha kumtoa.
Sijawahi sikia duniani mshambuliaji anasajiriwa ili awe Mkabaji badala ya Mfungaji.
Ndo nasikia kwa mara ya kwanza.
 
Kwa nafasi wanazotengeneza Simba anaonekana atakuwa anafunga sana hatuna mtu wa.mwisho kumalizia nafasi
Dube na Kagere nani anaweza kuwa mmaliziaji mzuri tena sio mzuri tu mmaliziaji mzuri katika mazingira magumu ya kufunga.
 
Na el merhek kafunga aliua gambani akatandika nyavu ndogo kama sikosei chuma cha tatu cross assist kutoka kwa Miqiussone
 
Kagere umri umeenda sasa ni wakati wa Prince dube ila si rahisi azam kumuachia,Walikataa ofa ya Raja Cassablanca almost 1b
Dube na Kagere nani anaweza kuwa mmaliziaji mzuri tena sio mzuri tu mmaliziaji mzuri katika mazingira magumu ya kufunga
 
Haya ndio mafanikio makubwa toka dunia iumbwe timu yetu ya Simba kuyapata katika ngazi ya group stage .. I mean kuwa group winner ..Kama Kuna makosa wabobezi wanisahihishe
Ni kweli, pia kwa Nchi ni Mara ya Kwanza na huenda hata Africa Mashariki,huenda
 
Dunia nzima Lone Striker anayefunga bao nyingi ni Robert Lewandowsk tu.na Labda ni kwa Vile Robert anacheza Lone team inapokuwa haina mpira lakini wakiwa na mpira wanakuja wote wote hivyo u lone striker unapotea.Huu mfumo wa Mshambuliaji mmoja unaleta mzigo sana kwa mshambuliaji na kufanya idadi ya magoli ipungue.

Ndio maana Siku Hizi wafungaji wengi ni wale wanaotokea pembeni, hata ktk chati ya Africa angalia Orodha ya wafungaji, almost hakuna Striker mwenye bao zaidi ya mbili.Mugalu anazo mbili.

Ana udhaifu ndio, lakini unaweza kufanyiwa kazi, ni suala la kisaikolojia zaidi kwa upande wangu
 
Y

Yaani nimekuona hapa roho yangu kwatuπŸ˜„. Lini twaenda dinner kusindikiza mafanikio ya robo fainali?
Duuh!!

Hivyo Mtani bila kufika robo hii dinner ningeisikia kwenye bomba. Lol πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Duuh!!

Hivyo Mtani bila kufika robo hii dinner ningeisikia kwenye bomba. Lol πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Safari hii tunabeba kombe kabisaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚. Jiandae na safari ya Zanzibar
 
Wewe una akili kuliko kocha wetu? Kumbuka kocha anapanga timu kutokana na jinsi alivyowaona wachezaji kwenye mazoezi. Pia anapanga kutokana na falsafa yake ya mpira! Hayo yote wewe huyajui!! Mpeni kocha uhuru na nafasi ya kupanga timu! Ahukumiwe kwa matokeo ya jumla na si kwa makosa ya mtu mmoja mmoja! Kuna siku Mugalu atawashangaza! Mugalu ni fighter! Ni suala la muda tu!
 
Ila huyu Mugalu atakuwa ana limbwata sio bure....yaani anasifiwa sana halafu uwanjani ni low class striker....

Anapangwa kila mechi....itakuwa anatumia vumbi la Congo.
Vp leo Bocco kafanyaje, whether u hate or love him, Mugalu ni mtu na nusu
 
Ila huyu Mugalu atakuwa ana limbwata sio bure....yaani anasifiwa sana halafu uwanjani ni low class striker....

Anapangwa kila mechi....itakuwa anatumia vumbi la Congo.
πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…