FULL TIME: Simba Sc 4-1 AS Vita | CAFCL | Mkapa Stadium

FULL TIME: Simba Sc 4-1 AS Vita | CAFCL | Mkapa Stadium

Nini anafanya mugalu
Kajifanya kuwa mbuzi wa kafala kwa lolote baya litakalo tokea mbele ya safari,japo hatuombei iwe hvyo🤔🤔🤔🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Beki za simba zisipande Sana na kukatika maana Vita wanatumia mipira mirefu na wanaoonekana wako vizuri kwa mchezaji mmja mmja
 
Back
Top Bottom